RSS
 

Ankol Moses..

05 Mar

Kwa wabongo na ndugu wengine…

Moses Hosea au Uncle kama anavyotambulika hapa Wichita amelazwa kwenye hospitali ya St Joseph.Uncle anasumbuliwa na Kidney stones.Kwa wale watakaopendea kwenda kumjua hali pale hospitali basi yupo kwenye ghorofa ya 7 na chumba chake ni 758..
Blog hii inamtakia uncle Moses matibabu mema na aweze kupona mapema,natarajia kwenda kumuona leo Ijumaa mapema..
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 10.0/10 (1 vote cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Ankol Moses.., 10.0 out of 10 based on 1 rating Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply