RSS
 

Ibada ya msiba leo..

05 Feb

Ibada ya msiba..

Kutakuwa na ibada maalum ya kumsindikiza marehemu Joachim Alois Tesha leo kuanzia saa mbili usiku.Ibada hii itafanyika nyumbani kwa John na Kidada Tesha 1000 S Woodlawn, Apt 1403.

Kina dada mnasisitizwa kuendelea kushirikiana na Amina Kapya na Anna Salehe kwenye swala la chakula,na kina sisi ni swala zima la vinywaji.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Tags: , ,

Leave a Reply