RSS
 

Ujumbe toka kwa Gie Manie..

05 Feb

Few words toka kwa Gie Manie..

Kijana wetu anapenda kutoa shukrani za dhati kwa wapenzi wa muziki wake hasa kwa support kubwa aliyopata kwenye single yake ya Go hard.Hivi karibuni  kafyatua single nyingine kwa jina la Slow down akishirikiana na AB.

Anatarajiwa kutoa album mapema mwaka huu,kwa sasa anashughulikia maswala ya kutengeneza videos mbili ambazo zitafanyika Seattle,WA mwezi ujao kama sio April na nyingine itakuwa kiwanja cha nyumbani Houston au Columbus.

Pia ule mpango wa documentary Fulani juu ya life yake na nini anatanya bado ipo pale pale,teyari anafanya michongo ya kupata air time kwenye TV stations za Bongo.Itakuwa 30 minutes za ukakamavu.

Kijana ameamua ku-go hard kweli kweli,summer ya mwaka huu atafanya tour ya miji kadhaa ndani ya state katika kutangaza album yake.Ratiba kamili ya tour hii itakuja soon.Tarehe za Columbus,OH ni April 6th,Houston,TX ni May 6th kwenye birthday yake, na Dallas nadhani ni kwenye Memorial week end.Watu wa DC,ATL,Wichita,Seattle,Minnesota,New York,Chicago,na Michigan kaeni mkao wa kula.

Tembelea social sites hizi kujua nini Gie Manie anafanya na ratiba kamili.

www.youtube.com/Giemanie

www.twitter.com/Giemanie

www.myspace.com/Giemanie

www.facebook.com/Giemanie

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 10.0/10 (1 vote cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Ujumbe toka kwa Gie Manie.., 10.0 out of 10 based on 1 rating Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Tags: , , , , ,

Leave a Reply