Baadhi ya matukio toka kwenye baby shower na Anitha jana..
Baadhi ya ndugu na jamaa kwenye baby shower ya Anitha na Dennis Mbelwa jana..
MC dada Eva alicheza sana kwa kuruhusu kina baba kuanza kuchukua msosi..menu ilikuwa ya maana,from sambusa,maandazi,pilau,biliani,chapati to the pombe za kumwaga..
Kina dada were very polite kwa kusubiri “mi-baba” kula first,kwa desturi ya kibongo hii sio big deal ila kwa wenzetu wa hapa,ingekuwa issue mpaka kwa Oprah..
Mc Eva (kushoto) akiwahesabia muda Rose Kisanko,Gloria Ngaiza,na Maria.Huu ulikuwa ni mchezo wa kuangalia “who is the best sucker” na bila taabu Gloria alishinda..zawadi yake?Gift card ya dola 500 plus standing ovation toka kwa wadume..
Then ikawa zamu ya wanaume kucheza game,hapa wanachekelea bila kujua nini wanakwenda kufanya.Kwa ufupi tu Modi modigwa alicheza taarab,Christopher alitakiwa kuvua shati kuonyesha six pack but Chris alikuwa sub ya Mazaza hapa,Yahaya aliimba wimbo wa taifa,baba G..sijui alipata nini ila Fungasha alitakiwa kumpa KISS Mc dada Eva..to get away from these tasks..walitakiwa kulipa dola 5 tu.
Dola tano tano kadhaa tokwa kwenye games alipewa baba mtarajiwa Dennis Mbelwa..boy was he happy!Sio mbaya kama zitakwenda kwenye mafuta ya Range Rover,lol
Ma-Dj wa U1 Dula na Charles wakiwa kazini..
Mapacha machachari wa Wichita,Gloria (kushoto) na Helena wakiwakilisha..they are very alright to hang out with.
Mbelwa na Anitha wanapenda cake jamani..hapa Anitha akimlisha mumewe kipande cha cake..
Then pakawa na ule wakati wa couples kusakata muziki murua..”makapera” hadi no chance hapa.
Maria Bocco-Oyler na mumewe Corey..
Brother Lunda Asmani na mkewe Katina kwenye dance ya maana..these two are always happy..
Mbali na kuanza 6:30 pm badala ya 5,kila kitu kilienda fresh na wadau wengi walifurahi.Jina la mtoto bado ni siri according to Dennis.Shukrani nyingi kwa waliokuja kuwa support Mbelwa na Anitha..











