RSS
 

Msiba..

11 Jan

Taarifa ya msiba kwa Eugen Makupa..

Mama Bernadina Makupa amefariki tarehe 11 mwezi wa kwanza saa 11 alfajiri katika hospital ya KCMC, Moshi, ambako alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo na kisukari kwa muda mrefu. Marehemu alipelekwa hospital tarehe 8 baada ya kuzidiwa na kisukari.
Marehemu ameacha watoto wanne, Eugen Makupa, Douglas Makupa, Silvia Makupa na Jaclena Makupa.
Marehemu alikuwa akiishi Kitandu Moshi na wanategemea kumzika huko huko Kitandu Moshi siku ya alhamisi tarehe 14 mwezi huu.
Eugen anaishi hapa Wichita na adress yake ni:
616 N Hardin
Wichita KS 67208

Namba ya simu ya mkononi ni 316 806 4473
Kwa direction zaidi wanaweza kunipigia Solomon (aka Smilez) Mwamkusye  316 204 2011.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,Amin.
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Tags: , , , ,

Leave a Reply

 
 
  1. msela-DC

    January 12, 2010 at 10:49 AM

    Duuh poleni sana wichitans kwa misiba.Yote ni mipango ya aliye juu.We cant go against his will.

    VA:F [1.9.3_1094]
    Rating: 0.0/5 (0 votes cast)
    VA:F [1.9.3_1094]
    Rating: 0 (from 0 votes)