Yap,Joseph Kasian kala kona..
Kwenye kiota cha the “heat” usiku wa kumuaga mdau Joseph(Kushoto),kulia kwangu ni Bro Domician toka Las Vegas..huyu ndiye aliyemtorosha Joseph 4am..
Mbali ya kuwa ni majirani bongo,nilipiga nao sekondari toka form two hadi four ndani ya Azania..we talked a lot juu ya those old days za kukimbizana na “mchwampaka” na yule mwalimu asijua kuweka vituo akiongea..yap,mwalimu Hatibu.
Domician na Joseph kabla ya kutimua nje ya kiota tulivu “Heat”..
Mcheki Domician na scarf yake nene shingoni..kweli ametoka jangwani Vegas..lol
Tunakutakia life njema Joseph,you will be missed sehemu kibao hapa Wichita..Keep your head up jibaba,naamini Domician atakupa deals za kufanya hapo.




frank
January 11, 2010 at 10:07 AM
God damn mmekuwa watu wazima.Joseph alikuwa anakuja na makamasi shule(form two).Msuya ananyoa nywele siku hizi.Azaboys wakilisha.