Mambo ya Mombasa Kenya haya..
Katikati ya mji wa Mombasa wenye harufu safi ya karafuu..
Swali la kizushi:Kuna kipindi fulani Dar-es-Salaam kulikuwa na uvumi wa kuwepo kwa “Popo bawa” ambaye alisadikia kutokea kwenye mwambao wa Mombasa au vitongoji vya jirani.Huyu jamaa alikuwa akiwafanya vibaya kina baba nyakati za usiku.Pia alikuwa na sheria moja kali kwa victims wake kwamba once amekutembelea basi huna budi kuwaambia watu nini kimekutokea la sivyo atarudi tena.Je huyu kiumbe alikuwepo kweli au ilikuwa ni kama mambo ya “Big Foot” hapa Marekani?

