RSS
 

Archive for July, 2010

Uchaguzi wa Excutive Committee Tawichita..

31 Jul

Baadhi  ya wanachama wachache waliotokea..

Wanachama wakisikiliza maelezo toka kwa president Jerry Mkony.Maada nyingi zilijadiliwa na mikakati mingi kupangwa..

Baadhi ya kina dada waliojitokeza leo.Ni wanachama 19 tu walioweza kufika kwenye mkutano huu.Ingia kwenye website ya Tawichita kwa maelezo zaidi juu ya mipango mbalimbali ya chama kwa wanachama na jumuiya kwa ujumla,connections zilizopo kati yetu na NSSF,DICOTA,CRDB n.k katika kunufaisha watanzania waliopo nje.

President Jerry Mkony akitoa maelezo mawili matatu juu ya maada kadhaa zilizojadiliwa leo..

Clement Mtawala a.k.a Mazaza akipiga kura akiwa na mwanae Kisa..

Baadhi ya viongozi wapya wa Excutive Committee Joseph Kabukire,Angela Kisanko,na Stella Allen kwenye picha ya pamoja.

Hongera nyingi kwa Subira Mabuba aliyepata kura 17,akifutiwa na Stella Allen(16).Viongozi wengine waliochaguliwa leo ni Joseph Kabukire,Leonard Fungasha,na Angela Kisanko walipata kura 15 kila mmoja.Committee hii itakaa chini na kuchagua chairman/chairperson wao baadae.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

South African’s liquor act..

31 Jul

Liquor Act..

Ouch!!Pres Obama and his administration are on the edge of introducing some of these to Americans before 2012.I will be heading to Canada by then,Lol

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Moving out..

31 Jul

Life ain’t pretty when its time to relocate..

Tandika to Kawe Juu..

There are no Uhauls over there,this is the only mean for those who can’t afford renting trucks.It’s not safe but it is what it is.I’m proud of this country.Nice people with beautiful smiles on their face all the time.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Mt Kilimanjaro..

31 Jul

Check out this view from Mwika Wildlife College..

What a background..!

By the way,why Kenyans keep telling the world that Mt Kilimanjaro is in Kenya?They even got books saying this.Please “baba Mois” stop this lie.

image by Chediel Msuya.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Ze game..ze party..

29 Jul

Two-in-One..

Na mwenye macho haambiwi tule..hasiye na mwana aelekee jiwe..mgeni njoo mwenyeji apone au sio?Mbona kazi ipo next Sat!!This flier explains everything,big up to Bwimbo and Dennis Mbelwa on this one.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

TO and chad Ochocinco..

29 Jul

TO is a Bengal now..What’s next in Cinci?

Ochocinco(85) and TO(81)..

Can TO and Chad Ochocinco live up to the hype.So far Cinci’s Bengals look pretty tight in their offense.TO,Chad,and Antonio Bryant as their wide receivers..QB Carson Palmer will have lots of options this season.Chad has already done his blah blah blah on winning it all.To him,if the Bengals won’t win Super Bawl,it will be a damn shame.TO and Chad claim to be good friends off the field and they both have some kinda reality TV shows on VH1.Chad is looking for a girlfriend/true love while TO is just showing his other side that football fans don’t have clue about it.From his dating experiences,switching towns(LA and NY),to babysitting kids.

I’m a die hard Pittsburgh Steeler and the Bengals are in our division.So,I have the rights to bash and talk sh!t about the Bengals.They humiliated my Steelers last season and now they bring TO “The Drama King”  to our backyard.I wish he would turn to his old image and mess things up like he did in Dallas.I still two bulls never co-exist.Pressure is on for coach Marvin Lewis.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Mtanange wa soka..Houston vs Wichita.

28 Jul

Wanakuja tena Aug 7th…

Kwa wanajumuiya na wapenzi wa soka hapa Wichita,tutakuwa na ugeni toka Houston Jumamosi ya Aug 7th.Ndugu zetu hawa wanakuja kupiga game ya soka na timu yetu.Mtanange huu unatarajiwa kuanza saa 11 jioni kwenye park ya Redbud mitaa ya 21st na Edgemoor ( 2000 N Edgemoor Wichita,Ks,67202).

Kikosi cha Wichita FC kinatarajiwa kupangwa siku ya game..Sorry “radiombao” list yenu watu kadhaa wameipiga madongo kiaina.

Mtaalam wa mambo ya entertainment hapa Wichita,Bwimbo wa Kajanja atakuwa na party kabambe kwenye ukumbi wa nyumbani,touch of class usiku wa Jumamosi ya game.Viingilio ni kama kawaida dola 5 mlangoni.Njoo ujichanganye na ndugu zetu toka Houston,kutakuwa na bolingo na lingala za kukata na shoka.Mwenye macho ahambiwi tule au sio?Kazi kwenu wadau wa Wichita.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Mkutano wa Tawichita..

28 Jul

Uchaguzi wa Executive Committee July 31st..

Kwa wanachama na watanzania waishio Wichita,tunaombwa kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kuchagua viongozi wapya kwenye executive committee yetu.Mkutano unatarajiwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia saa 10 jioni at Cessna Park.Kufika kwako mapema ndio kufanikiwa kwa mkutano huu,pia kutakuwa na maada mbalimbali za kujadili kama jumuiya.Kwa wale wenye maoni/ushauri/vi-dukuduku/mitazamo tofauti n.k,basi huu ndio wakati muafaka wa kujadili ili kufikia lengo letu la kujenga umoja na ushiriako wa nguvu tuliokuwa nao miaka ya nyuma.Please mwambie jamaa na marafiki kuhusu mkutano huu.

Kwa wale wasio wanachama hai kwa mwaka huu,bado hujachelewa kulipa ada ya uwanachama.Ni dola 30 kwa singles na 50 kwa couples.Wasiliana na kiongozi yeyote aliye karibu yako mara moja.Napokea michango kwa mtu yeyote atakayekuwa teyari.Tafadhali ingia kwenye website yetu TAWICHITA.NET kwa maelezo zaidi.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Eat Da Poo Poo..

26 Jul

These Ugandans are craaazy..!!


President Obama got  involved in this video clip.I laughed so hard when I first watched it. For sure Ugandans got their lesson and no eating poops over there.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Positive approach..

25 Jul

Do you think this works…?

Anybody can try,it might work for you…lol

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Sheria mkononi..?

25 Jul

Nani kavunja sheria hapa..?

Shaba kifuani..

Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Sadam(pichani juu) ameauwa kwa kupigwa risasi majuzi katika baa maarufu ya Angels’ Park iliyoko Ilala Sharief Shamba jijini Dar es salaam!! Kijana huyo inadaiwa kuuawa na mmiliki wa bar hiyo baada ya kundi la vijana wengi, akiwemo marehemu, kuvamia kwa lengo la kumpiga mwenye baa ili kulipiza kisasi! Mtandao huu umeeleza na mashuhuda kuwa, sakata lilianzia jana baada ya vijana wasiojulikana kudaiwa kumkaba mteja mmoja wa baa hiyo akiwa chooni na vijana hao kukamatwa na kuplekwa polisi ambako walishikiliwa hadi leo. Imedaiwa kuwa baada ya kuona wenzao wanasota rumande, pengine kwa sababu ya mmiliki wa huyo, waliamua kumfuata ili kulipiza kisasi kwa kumfanyia.Wakiwa kundi huku wameshika silaha mbalimbali vikiwemo visu, vijana hao walivamia baa hiyo na kuanza kumpiga mwenye baa na kumchoma kisu ambacho bahati nzuri hakikumdhuru sana. Kuona hali hiyo, mwenye baa alitoa bastola yake, akapiga hewani ili kuwatisha, lakini waliendelea kumfuata na kumshambulia huku wakiharibu mali za baa hiyo, likiwemo gari lake lililovunjwa kioo cha nyuma. Awali vijana wawili walipigwa risasi na kujeruhiwa na marehemu aliendelea kumfuata mwenye baa na ndipo alipopigwa risasi na kufa papo hapo!

Source: Global Publishers

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 2.0/10 (2 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

FIFA might like this..

22 Jul

FIFA World Cup 2010 in South Africa..

What left in South Africa after a month of soccer?Nobody knows..

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
 

Mabere Marando to Chadema..

22 Jul

Siasa ya bongo..

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi,wakili wa kujitegemea,Mabere Nyaucho Marando akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam, leo.Kushoto kwa bwana Mabere Nyaucho Marando ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.

Wanasiasa wa Tanzania bwana wanasikitisha sana,wanaanza vizuri na moto ila wanapoanza kula ruzuku tu basi issues zinaanza kutokea.Kutoelewana na kukosa uaminifu baina ya viongozi nadhani inachangia sana usambaratikaji wa vyama vya siasa.Matokeo yake wanahama toka chama hadi chama kila siku.Mwisho wake wanarudi CCM,hawa jamaa “watatuzuga” mpaka lini?Leo CHADEMA kesho CUF then CCM na ubunge wa viti maalum juu…Siasa bongo bado.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Nabii Tito..

20 Jul

Nabii Tito ndani ya nyumba..

Kama hujawai kumsikia “Nabii Tito”,basi worry no more,huyu hapa in “full throttle”.Najua wakina fulani watapenda manabii kama huyu…”Tukonge” sio?!

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Blackberry’s new AD..

20 Jul

For those who have Blackberries as their smart phones…

This is your new ad for you.Believe me,this slogan is real and it works.I know people who have experienced this in real life.Good thing is that,they are all happy that they found their “berries”..

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark