Taarifa ya msiba Wichita..
Ndug zetu John na Jema Tesha wamefiwa na mzee wao Joachim Alois Tesha leo Feb 2 huko Tanzania.Marehemu anatarajiwa kuzikwa Rombo,Kilimanjaro Jumamosi ya Feb 6.Marehemu ameacha mke na watoto wanne.
Kwa hapa Wichita,msiba utakuwepo nyumbani kwa John Tesha: 1000 South Woodlawn Apr # 1403,Wichita,Ks,67218 .John anatarajiwa kwenda kwenye msiba Jumatano Feb 3.
Tunaombwa kwenda kuwapa pole ndugu zetu hawa katika kipindi hiki kigumu.Kutakuwa na harambee pia.
Mungu aiweke roho ya marehemu Joachim A Tesha mahali pema peponi,Amin.
