RSS
 

Archive for September, 2009

Healthcare reform..

30 Sep

With his Healthcare reform compaign..

Pres Obama and the democrats are trying to pass this healthcare reform so everyone in the US can afford to have health insurance.But there is a big number of people opposing this reform..do you think Pres Barack Obama tries helping or hurting the country?

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 10.0/10 (2 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Msiba..

29 Sep

Msiba..

                       ..Freddie na marehemu dada yake…

Mtanzania mwenzetu ndg Freddie Nyagwegwe wa hapa Wichita amefiwa na dada yake huko Tanzania asubuhi ya leo.Marehemu alijifungua kwa operation Ijumaa iliyopita, na kwa bahati mbaya amefariki kwa kusumbuliwa na shinikizo la damu (pressure) huko Muheza Tanga.Kwa mujibu wa ndg Freddie Nyagwegwe,mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kwenda Buturi,Musoma.

Msiba upo nyumbani kwa Freddie Nyagwegwe kwenye anuani ifuatayo:

1407 S TERRACE DR
WICHITA, KS, 67218
Home: 316 681 0716
Cell:316 312 6772

Habari zaidi za shughuli za msiba huu zitafuata baadae.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,Amin.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Khadija Kopa ndani ya ICT..

28 Sep

Akademiks Brand Banner

Kazi kwetu wana wa Wichita..

Yule gwiji la mipasho hasa ki-mwambao mwambao au taarab Bi Khadija Omar Kopa anatarajiwa kuja kuwarusha roho wabongo,wakenya(wenye kujua kiswahili fasaha) Jumamosi ya Oct 10.

Ujio wa msaani huyu unaletwa kwenu kwa hisani ya wadau wa U-1 entertainment chini ya makeke ya CEO George Jonas.Bi Khadija Kopa yupo state akifanya ziara yake aliyoipa jina la “Rusha Roho Tour” ambayo imeanzia Houston,Texas.

Mtanange huu wa “vidole juu..vidole juu..” unafanyika kwenye ukumbi wa nyumbani Touch of Class Banquet Hall..25th and Hillside.Kiingilio ni dola 15 kwa kichwa..

Je taarab ipo humo..?Njooni tucheze muziki wa kwetu live toka kwa malkia wa Taarab Bi Khadija wa Kopa.Kina dada wa Wichita this is your opportunity kuonyesha mnajali kujichanga kuliko majirani zetu toka Kenya..

…Kwa habari zaidi wasiliana na George Jonas kwa namba hizi 309-868-7327..

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Mombasa..

24 Sep

Mambo ya Mombasa Kenya haya..

Katikati ya mji wa Mombasa wenye harufu safi ya karafuu..

Swali la kizushi:Kuna kipindi fulani Dar-es-Salaam kulikuwa na uvumi wa kuwepo kwa “Popo bawa” ambaye alisadikia kutokea kwenye mwambao wa Mombasa au vitongoji vya jirani.Huyu jamaa alikuwa akiwafanya vibaya kina baba nyakati za usiku.Pia alikuwa na sheria moja kali kwa victims wake kwamba once amekutembelea basi huna budi kuwaambia watu nini kimekutokea la sivyo atarudi tena.Je huyu kiumbe alikuwepo kweli au ilikuwa ni kama mambo ya “Big Foot” hapa Marekani?

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

19 pound baby..

24 Sep

Wow..19 pounds,24 inches long kiddo..

Yap, a woman named Ani in Indonesia gave birth to 19 pounds and 24 inches long gigantic baby on Thursday.Ani,who is 41 years old and is diabetic had her big baby boy with some serious risk for all kind of problems.Ani and son are in good conditions.She had him by C-section as you can imagine that size could have caused a serious disaster on this 41-year old Indonesian woman.

Just remember that the world’s largest baby weighed in at 23 pound, was born in Canada in 1879, and lived only 11 hours after birth.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Lamar Odom..

22 Sep

After less than 2 weeks of dating….Lamar is talking about getting  married to Khloe Kardashian.

Khloe’s big sister Kim dated NFL running back,Reggie Bush of New Orleans Saints before they broke up few weeks ago,can Lamar Odom keep up with the Kardashian plus that busy NBA schedule?He is moving so fast..I guess he knows what is doing and his teammates(La Lakers) are backing him off on this…

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
 

This is insane..

22 Sep

Longest basketball shot ever..

Clip #1:

 

Clip #2:

Nowadays a lot of people are trying to do different unthinkable things just to get their names in the Guinness World Records book..Do you think this is real?

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
 

Some talent..

20 Sep

Don’t judge him by how he starts his artworks..

What can you call this?..is it a gift,or talent,or creativity…?I know some of you may find this inappropriate but hey give this dude his credits for once..

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Tazama,share,weka Videos..

19 Sep

Mambo ya oyatube.com

 

Kwa wale wapenzi wa youtube na videos kwenye mtandao,kuna website ya ndugu yetu Eilma iitwayo oyatube.com.Jaribu kuingia na kutazama baadhi ya video clips za wabongo.Pia unaweza kuweka video clips zako,kufungua your own profile au blog pasipo na ghalama yeyote.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Motor show 09..

19 Sep

These are some “whips” from Frankfurt Motor Show 2009..

..BMW tries something new..this is BMW Vision Efficient Dynamics..

This is called Victory from Hamann Gallardo..

There was Porsche 911 GT3 RS..I bet Jay Reno got his already..

..This is Mercedes-Benz SLS AMG.Those folks from German took it to the next level..

Then there was Mr Lamboghini Reventon Roadster..It’s all muscles here.You can’t go wrong with one of these bad boys for sure…

Please don’t ask me for their price tags here.All I know is that there was nothing less than $150,000..

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Shukrani toka kwa Fred..

19 Sep

Shukrani kwa wote..

Ndugu yetu Fred Makubi alifanikiwa kwenda Tanzania wiki iliyopita mara tu baada ya maazishi ya mwanae Bernice yaliyofanyika hapa Wichita,Kansas.Fred alikwenda na mwanae mmoja ambaye ni mdogo wa marehemu.Sikuweza kuongea naye kabla ya safari yake ila alifanikiwa kutuma ujumbe kwa blog hii.Ameshukuru sana kwa upendo,utu,muda,na support aliyoipata toka kwa ndugu na jamaa hapa katika kipindi chote cha msiba..Huu ni mfano tu wa jinsi gani watanzania tunashirikiana katika shida na raha bila kuangalia kabila au kujuana..si wote walikwenda kumpa pole Fred Makubi walikuwa wanamfahamu bali ni utu na upendo tulionao.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Mlevi Makame from Pemba…

19 Sep

MAKAME FROM PEMBA…

 He woke his wife in the middle of the night and their conversation went like this…

“Bibi eeh? Bibiyee..? ‘Nashikwa na n’kojo mwiziooo…!!”

His wife said…. “Salaalah! Si wende kwani mpaka unian’sheee, kwani
ushakuwa ntoto n’dogo weyeee..???”

Makame said “Haya Bin’dogoo, nilikuwa nakutaarifu tuu…!!”

Few minutes later, MAKAME came back and said…!!

“Nke wanguu…! Nataka nikuambie maneno ya ajabuuu, yan’tokea chooni!!”

Now she is angry for being woken up for the second time, She said…..

“Salaalah…! Mwanamme kama hilo tembo huliwezi, si uliwache!! Haya,
kitu gani tena cha ajabu ambacho hujaniambia wataka nambia tena…?”

MAKAME: “Nilipokwenda chooni, nilipofungua n’lango, taa ikawaka
na nilipofunga n’lango taa izimika yenyewe….!! Balahau Si maajabu
tena hayo n’ke wanguuu…!?!”

His wife sat up and said…
“Nlaanifu wee… tena shetwani nkubwa… kabisa weyee, n’jukuu wa
bilisi, n’shenzi nkubwa!!!!! Ushakojoa tena ndani ya firiji…!!!!!!”

..You have gotten to love this especially if you know how people from Pemba talk..

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

zoezi hili litaisha lini..?

17 Sep

Foleni Bongo sio mchezo..

Mikiki mikiki kama hii hasa mida ya asubuhi kabla ya kazi na jioni baada ya kazi.

..Sio mchezo kama watu wanakwenda na kutoka kazini katika mazingira kama haya..

Sijui ni lini serikali itafanya utaratibu ya kutafuta wakandarasi wa uhakika na kujenga highways kadhaa kuuzunguka mji ili kuepusha dhahama hii.Kuna wastani wa karibu masaa mawili kati ya nane ya kazi hutumika barabarani kwa kila mfanyakazi aishie Dar-es-Salaam,taifa linajengwaje kama wajenga taifa wanatumia muda na nguvu nyingi kwenye foleni?

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 10.0/10 (1 vote cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Remember this..?

16 Sep

Kwa wabongo mliopo mbali na home..this is just to pull some homesick thoughts toka kwako.

Askari wetu bado mkakamavu down town Dar-es-Salaam..

kunguru kama kawaida once unawapa upenyo tu..

Ajali kama hizi zipo kama kawaida…

… hata kwa expensive cars kama range hii.I hope nimevuta hisia za home kwa kiasi fulani hasa kama uliondoka miaka kadhaa iliyopita.

….Special thanks kwa Erasto Moyo kwa ku-share pics…..
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Serena Williams gets disqualified..

15 Sep

This was in the semis when Serena Williams faced Kim Clijsters who eliminated Serena’s big sister Venus in the quarter final match during US Open..Here is a clip from youtube.

Do you think race has anything to do with this or was just Serena been Serena when she faces defeats?

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark