Then was baby shower thing..
Jioni ya Jmosi palikuwa pia na shughuli ya baby shower na ndugu zetu John Adhelo na dada Linda.John Adhelo aliwahi kuishi Wichita kwa muda mrefu kabla ya kuhamia Kansas City na dada yetu Linda ni mdogo wa dada Anita Lyimo.

Baba mtarajiwa,ndg John Adhelo akitasmini shughuli kwa mbali.

Fungasha akiwa na Fungasha Jr kwenye baby shower ya John na Linda..

Dada Eva akipitisha kapu kwa wageni,dada Eva ni moja wa ma-MC wazuri katika shughuli kama hizi.Hand down dada Eva..

Yap,baby shower za siku hizi hazihusishi kina mama tu,ni moja ya changes muhimu katika mambo ya usawa…lol

Lundo la zawadi kwa mtoto-mtarajiwa…
Kwa wale wadau wanaopenda kujua habari zaidi ya ndugu hawa ni kuwa wanatarajiwa kupata mtoto wa kuime mwezi ujao na nadhani jina la mtoto sio Adhelo Jr ni Austin.Adhero ni rafiki wa karibu wa Dennis Lweikiza au Mbelwa ambaye amefunga ndoa hivi karibuni na Anita Lyimo.Nadhani unaweza kuunganisha hizi dots kujua John na Linda wamekutanaje.Sorry Adhelo for this.
Hongera sana kwa hatua kubwa mliofikia katika kuanza familia,kumbukeni kuwa kama mtahitaji ushauri wa uzazi basi kuna ndugu wengi wenye uwezo wa kuwapa maelezo ya Awali na mimi ni mmoja wapo.
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 1.0/10 (1 vote cast)
VN:F [1.9.3_1094]