Nadhani kwa wapenzi wengi wa kikapu hasa College hoops wanaweza kukubaliana na wazo la Mtanzania mwenzetu Hashim Thabit au Hasheem Thabeet(Kimarekani) kuingiza jina lake kwenye NBA draft ya mwaka huu.Tazama stats zake mwaka huu zilivyo safi hasa kwenye secta ya ulinzi:
Ana wastani wa rebounds 10.8(mechi 25 na jumla ya rebounds ni 271)-#11 in the nation.
Ana wastani wa blocks 4.4per game(25 games with 110 blocks) na ni ana rank # 2 .UConn wana rank # 1 wakiwa na record ya kushinda mechi 24 na kufungwa moja tu dhidi ya Georgetown University 74-63.Hii ilikuwa mechi yao # 12 since then wameshinda mechi 12 mfululizo.

Namba zake zinapanda kila mechi,game ya mwisho na Seton Hall ,Hasheem Thabeet alimaliza kwa kuwa na pointi 25,rebound 20 na blocks 9.Wataalamu wa kikapu kwenye vyombo mbalimbali vya habari wamekuwa wakimfananisha na best players wa zamani kama Bill Russell,Dikembe Mutombo,au Hakim Olajuwon.Fuatilia habari na mechi za University of Connecticut(UConn) na upate kuona mtanzania huyu anavyowaadhibu wapinzani wake in the paint.Ratiba ya mechi zilizobaki ni hii:
Kila la heri kwenye next step ambayo ina mambo mengi sana kwani mamilioni ya fedha yanahusika na mikataba mikubwa itamfuata.Tunaomba aendelee kupeperusha flag ya Tanzania popote anapokwenda kucheza.Dikembe Mutombo na Hakim Olajuwon did their parts greatly.Its Thabeet’s term without a doubt.
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 1.0/10 (1 vote cast)
VN:F [1.9.3_1094]