RSS
 

Archive for August, 2008

Taarifa ya msiba.

27 Aug

  Kwa niaba ya ndugu zetu Susan Igogo na Joseph Igogo nasikitika kutoa taarifa ya msiba wa Deborah Igogo ambaye ni dada yao Susan na Joseph Igogo. Marehemu alifariki dunia huko Musoma kwa homa ya mapafu aliyokuwa akisumbuliwa kwa muda. Marehemu ameacha mume na watoto wanne.

Tunawaomba watanzania tuungane kwa pamoja kuwapa pole na kutoa msaada wa hali yeyote kuwasaidia katika kipindi hiki kigumu. Mipango ya mazishi inaendelea huko Tanzania na kwa hapa Wichita msiba upo nyumbani kwa Bwana Bwimbo Kajanja.Address yake ni 7677 E 21st   Street #  1803, Wichita, 67206. Ni apartments zilizopo nyuma ya Best Buy karibu kabisa na makutano ya Rock Rd na 21st.

Kwa taarifa zaidi naomba  usisite kuwasaliana na Bwimbo @ (316)-208-9551 au Susan @(316)-214-8809.
 
   ”Mungu ailaze  roho ya marehemu mahali pema  peponi, Amen”

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 9.0/10 (1 vote cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
1 Comment

Posted in Bongo news

 

Ali Kiba kuja Wichita Sept…

26 Aug

…Ni habari fresh kwa watu fresh… hasa kwa jumuiya ya watanzania hapa Wichita…Yule gwiji wa muziki wa vijana maarufu kama Bongoflava Ali Kiba anatarajiwa kufanya ziara yake ya kwanza Wichita,Kansas.Pia LBT toka H-town atakuwepo kuzikonga nyoyo za wapenzi wa muziki wake kwenye Concert hii September 27.Ujio wa stars hawa unaletwa kwenu na kwa hisani kubwa ya lile kundi la kurusha watu la U-1 entertainment chini ya uongozi mahususi wa George “Do-me” Jonas,CEO.

Kwa maelezo kamili ingia kwenye link hapo chini na keep on visiting tunyfish.com kwani kuna mambo mengi sana yanakuja in the near future…

      U-1entertainment.com

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
1 Comment

Posted in Bongo news

 

Vituko vya Hybrid vehicles..

21 Aug

hybrid

hybrid

Yap,nchi za ulimwengu wa kwanza zimekuwa katika harakati za kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa,kukata budgets za mafuta hasa kwa vyombo vya usafiri n.k.Yale mambo ya “Go Green“,global warming na mengine mengi juu ya Carbon emissions tunayosikia,soma,na kuona kwenye vyombo vya habari kila leo.Wengi wananunua Hybrid vehicles ambazo matumizi ya mafuta ni almost hakuna.Nyingine una charge tu kama unavyo-charge kilonga mbali(cellphone)chako.Sikia haya mapya sasa…

Huko California,kuna taarifa ya kupitishwa kwa mswaada utakao amuru magari yote ya Hybrid yaongezwe kiasi fulani cha mngurumo(noise) ili kuepusha ajali kwa vipofu.Yap,Hybrid vehicles zipo kimya sana kiasi cha kutishia maisha kwa walemavu hasa wasioona.I wish na nchi kama Tanzania ingekuwa na system kama hii ya kuwajali vyema wasiojiweza.


 

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Habari njema..

21 Aug

Cheche

Cheche

Kwa wale wakazi wa Wichita na vitongoji vya karibu ningependa kuwapa taarifa ya get-together Jumamosi hii ambapo kutakuwa na BBQ ya kukata na shoka.Venue ni pale Cessna Park na muda ni kati ya saa 10 jioni hadi kiza kiingie(3 usiku).BBQ hii inaletwa kwenu kwa hisani kubwa ya ndugu yetu Diwani Cheche.Bila shaka wengi wetu tunamfahamu Cheche katika mambo mengi hasa wale wapenzi wa soka na amekuwa kwneye mstari wa mbele katika shughuli zozote zinazotokea kwenye jamii yetu.Please,mwambie ndugu,rafiki,na jamaa wajaribu kufika kwenye BBQ hii.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
1 Comment

Posted in Bongo news

 

Tutafika kweli?

19 Aug

Kwa staili hii ya kusafisha jiji tutafika kweli…?

Tazama vitendea kazi vya kusafishia Jiji kama Dar-es-Salaam..Nani wa kulaumiwa kwa swala kama hili?Ni huyu mama anayesafisha barabara kuu akiwa na vifaa duni au wahusika wanaolilia fedha toka serikalini kila mwaka na matokeo yake kuweka kwenye matumbo yao?Kweli Bongo tambarare kama asimavyo Issa Michuzi…

kuna nafuu kubwa sana katika mji wa Moshi kwa swala zima la usafi wa mazingira.Tofauti kubwa kati ya wahusika mbali na idadi ya watu kati ya miji hii ni kuwa Kilimanjaro kama mkoa ilipitisha sheria kali dhidi ya wachafuzi wa mazingira.Sheria hii inatoa adhabu ya kwenda jela kwa miezi kadhaa au kulipa faini ya shilingi 25,000 kwa yeyote atakayepatwa na kosa la kutupa takataka ovyo.Unadhani sheria hii inaweza kubadilisha watu na mazingira kama itatumika Dar-es-Salaam?

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
1 Comment

Posted in Bongo news

 

Taarifa ya msiba..

17 Aug

Familia ya ndugu Mwiga na Amina Kapya wanasikitika kwa kupatwa na msiba wa baba yake Amina uliotokea huko Tanzania.Ndugu na jamaa wote tuliopo hapa Wichita tunambwa kushirikia kwa hali na mali katika kipindi hiki kigumu kwa ndugu zetu Amina na Mwiga.

Anwani ya kwao ni hii: 640 Eastern apt # 102 (Apartments zilizopo nyuma ya Circuit City ya zamani on Kellogg) au piga namba hii ya simu (316)-687-5032 kwa maelezo zaidi.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,amen.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
1 Comment

Posted in Bongo news

 

Was he born in the water..?

17 Aug

This boy is out of reach in swimming competitions.Look what he had done in the Olympics..Smashing multimple world records,made other professional swimmers look like ordinary boys,and the big bang is when he surpassed Mark Spitz for most golds in one Olympics.He was eight-for-eight in this Olympics in Beijing.I mean he has collected 8 gold medals which is more than big nations like Canada,France,Italy.Did i mention he is only 23 years old?

The golden boy

 

The golden boy

Many of sport fans never thought this could be possible.My question is:Was he born in the swimming pool or something?His mum can answer this..Big up to Michael Phelps for this kind of domination of life time.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
No Comments

Posted in Sports

 

Watanzania na Olympics 08..

16 Aug

Thanks God Tanzania kama nchi tulipeleka wanamichezo 10 Beijing katika michezo ya aina mbili tu ambayo tunadhani we,somehow could do better;yaani kutimua mbio ndefu na kuogelea japo sina uhakika na uogeleaji wetu.

Wawakilishi wetu ni hawa:Upande wa kukimbiza upepo(riadha) ni Mohamed Ikoki,Samuel Ramadhani,Getuli Amnaay Bayo(Marathon).Wengine ni Zakia Mrisho(5000m),Samuel Kwangwe na Dickson Marwa(10000m),Samuel Mwera(800m),Fabian Joseph(5000/10000m).

Dickson Marwa

 

 

Dickson Marwa

Na upande wa kuogelea tulikuwa na wawakilishi wawili tu(duuh kweli kazi ipo) ambao ni Khalid Shaka kwa wanaume(100m freestyle) aliyekuwa na kazi kubwa ya kushangaa waogeleaji wengine kama Alain Bernard(France)alishinda Gold,Eamon Sullivan(Aus)aliyenyakua Silver na bado anashikilia world record katika 100m freestyle,huku Bronze ikibebwa na Jason Lezak(USA).Kwa upande wa kina dada,Magdalena Alex Moshi ndiye aliyekuwa akipeperusha bendera ya Bongo katika 100m freestyle.Wawakilishi wetu kwenye nyanja ya kuogelea walishindwa kufua dafu kabisa.

Je ni lini Tanzania itakuja kuacha kufanya maandalizi ya zima moto hasa katika michezo?Ni wazi wawakilishi wetu hawakuwa na maandalizi ya muda mrefu kwa mashindano haya.Je ni mbio na kuogelea ndio michezo ya kutuwakilisha kama nchi?Itachukua muda mrefu kupata nishani yeyote kama maandalizi na lishe havitaboreshwa kwa wawakilishi wetu.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
1 Comment

Posted in Bongo news

 

Tazama core values za TRA…

13 Aug

After makelele mengi ya vita zidi ya ufisadi na nini..Je unajua core values ya kila mfanyakazi wa Tanzania Revenue Authority anazo paswa kufuata? Ni hizi hapa…

Maybe Lugha iliyotumika ni ngeni kwa wengi ndio maana rushwa,unyanyasaji,deals za njia za panya n.k haviwezi kukomeshwa TRA Bongo.They should change or translate it into Swahili so kila mfanyakazi ajue nini shirika na taifa kwa ujumla linategemea kutoka kwake.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
 

My trip to Kilimanjaro…

13 Aug

On my three days in Kilimanjaro..

Zebra Hotel..

Zebra Hotel..

Fantastic services at Zebra Hotel-down town Kilimanjaro…

Fried-samaki,vegs,and so many delicious foods are served in this place..

Safari ya K'njaro

Safari ya K’njaro

On my way to the interior part of Kilimanjaro…I mean waaay far….Upareni to be specific.

Long safari

 

Long safari

Searching for some relatives in Upare..they said it was cold but I liked it.Thanks to winter seasons here in the midwest.They made me stronger than I ever thought.

new friends

new friends

These were my new friends.Students of Shighatini Primary School.They were so cool in general.

bathrooms

 

bathrooms

These are their bathrooms.Two chambers for boys,other two for girls and one for their teachers.Good thing they can use bathroom in the bush also cause these four chambers aren’t enough for 200+ students.

mum's grave

 

mum’s grave

The main goal of my trip was this one..to visit my mum’s grave.God took her four years ago and I did not get to attend her funeral.She was a very special woman in so many ways…

mum's grave

 

mum’s grave

You will always be remembered…Rest in peace mama.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 
 

Did you know this..?

11 Aug

When you are in the Arabic countries and go for number 2(use bathroom),then you have to go through two stages..One wipe your rear end with the toilet paper(American way) and then next to the toilet there is water hole you can use to splash off all the particles left after wiping. Or you can sit  to another  mini-toilet  for a nice wash off.It’s kinda freak if you have never used water to clean after using bathroom.I found it  to be neat and very interesting..

Islamic way

Islamic way

By the way I used both options on my trip to Tanzania..Welcome to Dubai folks.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark
 

Soka bongo…

10 Aug

Hizi ni picha nilizoweza kuchukua wakati wa mashindano ya Kagame Cup..

Kiwanja kizuri kweli japo bado hakijakabidhiwa rasmi kwa serikali yetu.

Juu nikiwa na “Pacha wangu” Chedy au baba Ruben..Congratulation mdogo wangu.

Wapenzi wa soka ni wengi..but wanachama wa vilabu vya soka ni wachache ndio maana haviendelei.

Watu ni wengi hasa upande wenye kivuli..Kiwanja kimetulia sio siri..

Washabiki wa soka wakielekea sehemu mbalimbali za jiji baada ya burudani..

Siku Yanga FC ilipoingia mitini kwa Simba FC kugombea mshindi wa tatu Kagame Cup..Aibu kubwa kwa Yanga na wapenzi wa timu hiyo…Je adhabu iliyotolewa na CECAFA dhidi ya Yanga unaionaje?

Tursker FC toka Kenya na URA ya Uganda walitoa burudani nzuri katika Fainali.Tusker alishinda 2-1

Ma-model wa Miss Vodacom 08 walikuwepo katika Fainali hizi za Kagame.Japo wengi hawakuwa wanatazama mpira kabisa.

VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.3_1094]
Rating: 0 (from 0 votes)
Share This Post
  • Share/Bookmark