“Vibabu” wa CCM..
Pichani ni Pius Msekwa,spika wa zamani wa bunge la Tanzania(shati la kijani) na aliwahi kuwa mkuu wa mikoa kadhaa ikiwepo Dar-es-Salaam Mh Yusuf Makamba.Hivi kweli CCM hawana vijana au damu changa wa kuchukua nafasi za vikonge hivi?Inasikitisha kuona maamuzi mengi ya nchi changa kama Tanzania yanatoka kwa wazee kama hawa.Picha hii ilikuwa ni wakati wa ufunguzi wa kampeni za mgombea wa urais kupitia CCM,rais Jakaya Kikwete.Ili kuendelea kama nchi katika nyanja mbalimbali,nadhani “vikongwe” kama hawa wanatakiwa kuenguliwa mara moja.Their job is done.Wake up Tanzania!!Ni kwa usalama wa afya zao na taifa kwa ujumla.Sorry babu Msekwa na Makamba,it is time to give it up kwa vijana.




















