ATL Stand up..
Pia kutakuwa na mtanange wa soka kati ya DC All Stars na Houston All Stars kabla ya concert.Kati kwenu wadau wa ATL na vitongoji vya karibu.
Pichani ni Pius Msekwa,spika wa zamani wa bunge la Tanzania(shati la kijani) na aliwahi kuwa mkuu wa mikoa kadhaa ikiwepo Dar-es-Salaam Mh Yusuf Makamba.Hivi kweli CCM hawana vijana au damu changa wa kuchukua nafasi za vikonge hivi?Inasikitisha kuona maamuzi mengi ya nchi changa kama Tanzania yanatoka kwa wazee kama hawa.Picha hii ilikuwa ni wakati wa ufunguzi wa kampeni za mgombea wa urais kupitia CCM,rais Jakaya Kikwete.Ili kuendelea kama nchi katika nyanja mbalimbali,nadhani “vikongwe” kama hawa wanatakiwa kuenguliwa mara moja.Their job is done.Wake up Tanzania!!Ni kwa usalama wa afya zao na taifa kwa ujumla.Sorry babu Msekwa na Makamba,it is time to give it up kwa vijana.
I grabbed this pic from Facebook and what you see is real.Those people were punishing him with stones,rocks,and big pieces of concrete.He is a thief and Tanzanians like to take control of things like this rather than calling police.Is it 911 or 411?You see,I can’t even remember how to call in case of emergency.
Tanzanians or “Wabongo” don’t mess around with thieves,they will make sure the thief is dead by any means.It is kinda way of sending a message to others.The message is clear..you steal and you get caught,stones and rocks will be upon your dead body.They used to stone them and set them on fire.I don’t know if Tanzania is out of used tires and kerosene yet.I witnessed these kind of inhumanly treats thieves get.Keep in mind,stealing is bad but it is deadly in Tanzania.
By the way,”usiibe” means don’t steal in Swahili.
Taarifa ya msiba kwa wana jumuiya,ndugu yetu Christopher Myovela au “Mangi” amefiwa na baba yake mzazi mzee Pascal Myovela leo asubuhi kwa majira ya Tanzania.Marehemu alikuwa hospitali ya KCMC kwa takribani wiki nzima akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Kwa wakazi wa Wichita na vitongoji vya karibu,msiba utakuwepo nyumbani kwa Christopher: 2918 Cardingtin St Wichita, KS 67205.Tunaombwa kufika na kumpa pole ndugu yetu Chris.
Maelezo zaidi juu ya taratibu za msiba zitafuata baadae kwenye blog hii na website yetu ya TAWICHITA.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya mzee wetu Pascal Myovela mahali pema peponi,Amin.
In Tanzania,political parties are in political wars trying to convience “walala hoi” to vote for their candidates.There are more than 5 political parties that are trying to knock Pres Jakaya Kikwete and his ruling party CCM.Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA seems to have some potentials of giving CCM its run but here comes a question,can CHADEMA get it done or its just another fluke like we saw from NCCR-Mageuzi with Augustine Mrema?
Most people I had a chance to talk to are strongly convinced CCM will blow “wapinzani” out in the Presidential election but political parties have some strong candidates who can win in their regions.As of now til November,I’m going to seat back and watch closely to this political frenzy.Good luck to my fellow Tanzanians who are planning to register and vote.Stay away from those candidates that play foul and give “hongo” or “kitu kidogo” to just get your vote.
Yap,hawa watu wanangoja huduma muhimu ila customer care represantive anapiga zogo kwenye “kilonga mbali” chake kuhusu week end.Huduma kama banks,posta,hospitali n.k zinapatika katika mazingira ya shida sana na sababu kubwa ni represantatives kama huyu.Inasikitisha kuona foleni sehemu kama banks tena kwenye sehemu ya kuweka fedha.I experienced it ndio maana na blog juu ya uzembe huu.
I’m glad kuona cartoonists wanafanya kazi nzuri kutoa picha kamili ya mambo muhimu kama haya.By the way,blog hii ipo mbioni kuanza kuwadhamini wachoraji wa katuni kuanzia 2011.
Do you want to see those crazy photos I was taking Friday night when Prof Jay was performing here in Wichita?Just visit my photo gallery and you can find them under album Prof Jay-Concert…or you can just easily click here PHOTOS.Remember,you can register in my photo gallery and obtain full access of lots of fun staff.
Magwiji wa Bongo Flavor,Ali Kiba (kushoto) na Prof Jay wana washabiki wengi ndani na nje ya Tanzania.Ali Kiba alifanya tour UK na USA takribani miaka miwili iliyopita,Prof Jay anafanya tour USA sasa.Nini maoni yako juu ya yupi bora katika swala zima la kulishambulia jukwaa kati magwiji hawa..
Prof Jay akijiandaa kulishambulia jukwaa kiaina..
“Kodak Moment” na msanii wa ki-kenya Dubai Dennis AK47 ambaye alitangulia kufanya mambo jukwaani kabla ya Prof Jay…
Baadhi tu ya mashabiki waliofika kumpa tough Prof Jay..
Sister Dos wakimpa “tafu” Prof Jay kimtindo..concert ilikuwa shwari na watu wamefurahia ugeni wa Prof Jay japo “venue” haikuwa rahisi kuipata due to construction ya barabara zetu za Wichita plus $15 kama kiingilio kidogo inakuwa taabu kwa wengi wetu.
Another “Kodak Moment” na Prof Jay baada ya kukamua tracks kadhaa..
Binti huyu alikuwa na furaha sana kumuona Prof Jay..Sio siri jamaa ana fans wa kumwaga,toka Kisumu mpaka Mwanjelwa.Nikimaanisha fans wakibongo na wakenya au baba mois.
Picha zaidi zinapatikana kwenye photo gallery yetu jina la album ni Prof Jay-concert ..Shukrani za dhati kwa wote walitokea kwenye concert hii.Kuna uwezekano wa Prof Jay kurudi Wichita na kuwarusha washabiki zake tena.
They learned some Swahili words from Rahma Kasembe.I wonder if they will still remember those words when they come again next year.
There were pretty of food and drinks for everyone who showed up..Pilau,Maandazi,macaroni and cheese,chicken,hamburgers,hot dogs,beans were served yeasterday.
Rahma and her hubby,Gilbert Kasembe are getting balloons ready for the kids..
Kids get to have this kinda fun once every year and they real love it.My kids were asking me today if they could go back and play ..
Mrs Kasembe in action.Special thanks to TAWICHITA and Kasembe’s family.
There will be more photos in my photo gallery soon..Keep it locked right here pals!